Kisa taji la ligi kuu, Yanga waoga mamilioni
Sisti Herman
May 14, 2024
Share :
Baada ya jana kutwaa Ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya tatu mfululizo, Ukiwa Ubingwa wao wa 30 kihistoria, Yanga imeweka kibindoni zaidi ya Bilioni 4.7 za Kitanzania.
Mchanganuo wa Zawadi za Yanga kwenye Ligi Kuu 2023/24.
- TSh. 3 Bilioni Bonasi kwenye Mkataba wa Maudhui na Azam Media
- TSh. 500M Zawadi ya Bingwa kutoka Azam Media
- TSh 100M Mdhamini mkuu wa ligi, Benki ya NBC
- TSh. Sh 500M GSM
- TSh 150M Sportpesa
Neno moja wa Wananchi...!