Kishamba aishauri serikali kufundisha somo la kutafuta na kutunza pesa
Sisti Herman
May 8, 2024
Share :
Hii ni nukuu ya Mbunge wa jimbo la Kahama mjini Jumanne Kishimba akiishauri serikali wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknologia
"Nimuulize Waziri (Prof Mkenda) mimi mtoto wangu anatakiwa kupata degree kwa miaka minne ameishia miaka miwili, nimekosa hela ameshindwa amerudi nyumbani huyu tunamwitaje?, kwanini asipewe nusu degree kwa sababu anayeamua degree sio wewe ni mwajiri, ukinipa nusu degree tajiri ndiyo atatoa maamuzi," alisema Jumanne Kishimba