pmbet

Kiungo wa zamani wa Simba atimkia Ethiopia.

Joyce Shedrack

February 23, 2026
Share :

Kiungo wa zamani Simba raia wa Nigeria Augustine Okejepha amekamilisha uhamisho wake kwenda klabu ya Ligi Kuu ya Ethiopia, Welayta Dicha, kwa mkataba wa miezi sita.

Simba SC Archives | Page 47 of 93 | Soka La Bongo

Okejepha aliondoka Simba mwishoni mwa msimu uliopita na kujiunga na timu inayoshiriki ligi kuu ya Iraq kabla ya kujiunga  Ethiopia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet