pmbet

Kivumbi na Jasho leo Chamazi, Yanga dhidi ya Kagera

Sisti Herman

May 8, 2024
Share :

Klabu ya Yanga leo itashuika dimbani kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Klabu ya Kagera Sugar kwenye dimba la Azam Complex Chamazi.

Yanga waliopo juu kwenye msimamo wa ligi wakiwa na alama 65 wanahitaji ushindi ili kuendelea kuusogelea Ubingwa wao wa 30 huku kwasasa wakiwa na tofauti ya alama 8 juu ya Azam kwenye msimamo huo, wakihitaji kushinda michezo mitatu tu kuwa mabingwa.

Kagera waliopo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi hiyo wanahitaji ushindi ili kuendelea kujiweka pazuri kuepuka kushuka daraja mwishoni mwa msimu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet