Kizimkazi Festival 2025 kuanza Julai 19 hadi 26.
Sisti Herman
June 15, 2025
Share :
Tamasha la Kitaifa na Kimataifa la @kizimkazifestival_ litafanyika kwa siku 8 kuanzia Julai 19 mwaka hadi 26 mwaka katika eneo la karibu na Viwanja vya Suluhu Sports Academy Mkoa wa Kusini Zanzibar.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Tamasha la Kizimkazi Mahfoudh Said Omar (akiwa katikati) ametaja burudani mbalimbali ambazo zitakuwepo katika tamasha hilo ikiwemo ngoma za Asili,Singeli,Bongo Fleva,Bendi za muziki wa Dansi pamoja ushindani wa michezo tofauti.
Tamasha la Kizimkazi 2025 litazinduliwa Julai 19 mwaka huu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi.