Klabu za Saudia zinawania saini ya Casemiro na Fernandes
Eric Buyanza
May 14, 2024
Share :
Klabu za Ligi Kuu ya Saudia (Saudi Pro League) zimeonesha nia ya dhati ya kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United na Brazil Casemiro mwenye umri wa miaka 32.
Klabu hizo pia zimeonesha nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Ureno mwenye umri wa miaka 29 Bruno Fernandes.