pmbet

KMC waipeleka Simba Tabora

Sisti Herman

April 25, 2025
Share :

 

Klabu ya KMC imeuchangua uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora kama uwanja wao wa nyumbani kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya dhidi ya klabu ya Simba utakaopigwa Mei 11.

Kanuni za ligi zinaruhusu timu kucheza michezo yao miwili ya nyumbani kwenye uwanja tofauti na ule wao wa nyumbani, kwa kila mzunguko mchezo mmoja.

KMC na Simba wote wanatumia uwanja wa KMC Complex kama uwanja wao wa nyumbani.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet