pmbet

KMC Yamnasa Mbaya wa Simba

Sisti Herman

January 14, 2024
Share :

Klabu ya KMC FC imethibitisha kukamilisha usajili wa beki Abdallah Said Ali ‘Lanso’ kutoka kwa Mabingwa wa kombe la Mapinduzi, Mlandege Fc ya Zanzibar.

Lanso alikuwa nahodha wa kikosi cha Mlandege Fc kilichotwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2024 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba SC kwenye fainali mnamo Januari 13, 2024.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet