pmbet

Kocha Ghana atimuliwa

Sisti Herman

January 24, 2024
Share :

Chama cha soka nchini Ghana kimemtimua aliyekuwa kocha wa timu ya Taifa ya nchi hiyo Chris Hughton raia wa Ireland na Uingereza baada ya matokeo mabaya yaliyopelekea timu hiyo kuishia hatua ya makundi kwenye michuano ya AFCON 2023 inayoendelea nchini Ivory Coast.

 

Ghana ilitoka rasmi jana baada ya sare ya 2-2 dhidi ya Msumbiji na kushindwa kukusanya alama zinazoweza kuwafikisha hatua ya mtoano ya michuano hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet