pmbet

Kocha kipenzi cha wana Simba afariki dunia

Sisti Herman

April 2, 2024
Share :

Klabu ya APR ya nchini Rwanda imethibitisha kifo cha aliyekuwa kocha wa viungo wa klabu ya Simba Adel Zrane raia wa Tunisia.

Kocha huyo kipenzi cha mashabiki na wachezaji wa Simba aliondoka Simba misimu miwili iliyopita na kujiunga na timu ya Taifa ya Mauritania kabla ya kurudi Afrika mashariki kujiunga na APR.

Pia kupitia kurasa zao za kijamii wachezaji waliokuwa wachezaji wa Simba Meddie Kagere na Thadeo Lwanga wamethibitisha kifo hicho.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet