pmbet

Kocha Mholanzi ambakisha VVD LIverpool

Sisti Herman

May 6, 2024
Share :

Baada ya klabu ya Liverpool kupitisha jina la Arne Slot, kocha wa sasa wa klabu ya Fayernood kuwa mrithi wa kocha wao Mkuu Jugen Klopp ambaye amethibitisha mapema mwaka huu kuwa ataondoka, beki kisiki wa timu hiyo Virjil Van Dijk (VVD) amethibitisha kubaki Anfield.

Van Dijk ambaye awali alihitaji kujua kocha gani atakayevaa viatu vya Klopp ndiyo asaini kandarasi mpya, ameamua kuendelea kuwepo Liverpool baada ya kujua kuwa kocha ajaye ataendana naye na pia ni raia mwenzake kutoka Uholanzi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet