Kocha mpya Chelsea huyu hapa
Sisti Herman
May 27, 2024
Share :
Klabu ya Chelsea ya ligi kuu Uingereza ipo mbioni kukamilisha mazngumzo na kocha wa Leicester City Enzo Maresca rai wa Hispania kwaajili ya kuwa kocha wao Mkuu akiziba nafasi ya Mauricio Pochettino.
Enzo ambaye alikuwa msaidizi wa Pep Guardiola misimu miwili iliyopita amekuwa na msimu bora kwenye ligi daraja la kwanza akiwa na Leicester ambapo wamefanikiwa kutwaa taji la ligi hiyo sambamba na kurejea ligi kuu Uingereza.