pmbet

Kocha mpya Ivory Coast ni kijana wa miaka 40, atawatoa Senegal?

Sisti Herman

January 29, 2024
Share :

Baada ya kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Ivory Coast Jean-Louis Gasset raia wa Ufaransa kutokana na matokeo mabaya kwenye michezo ya hatua ya makundi ya Afcon 2023, aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu hiyo ya Taifa Emerse Faé mwenye umri wa miaka 40 amekaimishwa majukumu ya kukinoa kikosi hicho kwa muda huku mtihani wake wa kwanza ukiwa mchezo wa hatua ya mtoano ya 16 bora dhidi ya mabingwa watetezi wa Afcon Senegal.

 

Ivory Coast ambao ni wenyeji wameweza kufuzu hatua ya mtoano baada ya kushika nafasi ya 3 kwenye kundi A lililokuwa na timu za Guinea ya Ikweta, Nigeria na Guinea ya Bissau, wakiwa wameshinda miwili ikakusanya alama 3 na kuwa moja kati ya timu za nafasi ya 3 zenye alama nyingi (Best Looser) ambazo huweza kufuzu kukamilisha idadi baada ya timu za nafasi ya kwanza na poili kwenye makundi mengine kufuzu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet