Kocha Sevilla atimuliwa
Sisti Herman
December 17, 2023
Share :
Klabu ya Sevilla ya ligi kuu Hispania imemfuta kazi aliyekuwa kocha wao Diego Alonso raia wa Uruguay baada ya mfululizo wa matokeo mabaya ikiwa ni mizi miwili tu tangu arithi mikoba ya Jose Mendilibar.
Tangu achukue mikoba ya kuinoa Sevilla, Alonso amecheza miwili ya La Liga bila ushindi kama ilivyo kwenye michuano ya ligi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ambapo pia hajashinda mchezo wowote.