Kocha Simba atimuliwa Tabora
Sisti Herman
March 21, 2024
Share :
Rasmi klabu ya Tabora United imeachana na Kocha wao mkuu Goran Kopunovic ambaye aliwahi pia kuwa kocha mkuu wa Simba miaka ya nyuma na kumtangaza kocha mpya kutoka Ufaransa, Denis Laurent Goavec.
Goavec amewahi kuvinoa vikosi vya AS Vita Club ya DR Congo na JS Saoura ya Algeria.