pmbet

Kocha wa Azam Fc awatisha Yanga kuelekea mchezo wa kesho.

Joyce Shedrack

April 24, 2026
Share :

Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amewasha moto kuelekea mechi ya nusu fainali dhidi ya Yanga, akikiri ubora wa wapinzani wao lakini akisisitiza kuwa lengo lao ni kufuzu fainali na kubeba ubingwa.

Ibenge ameweka wazi kuwa yeye kwenye timu yake haangalii umri wa mchezaji ili kumpa nafasi ya kucheza ila anachojali yeye ni kiwango cha mchezaji na anachota yeye ni ushindi tu.

 

“Mimi sijali kuhusu umri wa mchezaji ninampa mchezaji nafasi ya kucheza kutokana na ubora na kiwango anachokionesha wachezaji wote ni wa Azam Fc mwenye kiwango kizuri atapata nafasi ya kucheza ninachotaka ni ushindi tu”Amesema Ibenge.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet