pmbet

Kocha wa Brighton alia na Arsenal kupoteza muda

Eric Buyanza

March 3, 2026
Share :

Kocha wa Brighton, Fabian Hurzeler, amesababisha mabishano kabla ya mchezo dhidi ya Arsenal kwa kudai mabadiliko makubwa ya sheria ili kukabiliana na mbinu za kuchelewesha mchezo zinazotumiwa na timu hiyo. Hurzeler anataka sheria kali zaidi ili kulinda mchezo hasa kwenye mipira ya kona na faulo.


Hurzeler alisema, "Kwa sasa, hakuna sheria za wazi juu ya muda unaotumika kwenye mipira ya kona, faulo, na mipira ya kurusha.Hii inavuruga mtiririko wa mchezo. Aliongeza kuwa Arsenal wakati mwingine hutumia zaidi ya dakika moja kwenye mipira ya kona.

Arsenal wamepata goli 15 kwenye mipira ya kona na hivyo kuwafanya kuwa timu yenye goli nyingi zaidi kwenye mipira ya kona Ligi Kuu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet