pmbet

Kocha wa Misri amtolea Uvivu Mwandishi wa Morocco

Sisti Herman

January 18, 2026
Share :

 

Kocha msaidizi wa Misri Ibrahim Hassan amemtambia mwandishi wa habari wa Morocco kuwa timu ya taifa ya Morocco haijashinda taji kubwa katika miaka 50, huwa linapokuja suala la taji kuu la bara kwa timu ya wakubwa, Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). 

Taji lao pekee la AFCON lilikuwa mwaka 1976.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet