Kocha wa Ronaldo ajiunga na Ghana kuelekea kombe la dunia
Sisti Herman
April 14, 2026
Share :

Aliyekuwa Kocha mkuu wa Ureno na kocha msaidizi wa Manchester United Carlos Queiroz ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ghana kwa ajili ya Kombe la Dunia lijalo.
Kocha huyo amewahi kumfundisha Ronaldo kwa nyakati tofauti akiwa United na Ureno.





