pmbet

Kocha wa Yanga apania kufuzu Fainali mbele ya Azam FC.

Joyce Shedrack

April 24, 2026
Share :

Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amefunguka kuelekea mechezo wao wa kesho dhidi ya Azam FC, huku akikiri wazi kuwa licha ya ugumu wa mchezo huo anaamini watafanikiwa kufuzu Fainali

"Tunanajua utakuwa mchezo mgumu Azam ni tim nzuri wana uwekezaji mkubwa na kocha mwenye wasifu mkubwa Afrika lakini sisi tuna focus na mchezo huo na tunaamini tutafuzu fainali.

Klabu ya Yanga inatarajia kushuka dimbani siku ya kesho kwenye uwanja wa New Amaan Complex dhidi ya Azam Fc ili kusaka nafasi ya kufuzu fainali ya michuano hiyo kwenda kutetea taji hilo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet