pmbet

Kocha wa Yanga atwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi Agosti.

Joyce Shedrack

September 11, 2026
Share :

Kocha wa klabu ya Yanga Manqoba Mnqithi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi wa nane wa NBC Premier League.

Kocha Manqoba Mnqithi amewashinda Makocha Steve Barker (Simba SC) na Ibenge (Azam FC).

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet