pmbet

Kocha wa Yanga awatisha Pamba Jiji akimtaja kocha na wachezaji.

Joyce Shedrack

August 27, 2026
Share :

Kocha mkuu wa Yanga Manqoba Mngqithi akiongelea ubora wa kocha Francis Baraza kuelekea mchezo wao siku ya kesho dhidi ya Pamba Jiji.
No photo description available.
“Kocha Baraza amefanya kazi kubwa sana katika kutengeneza timu yake. Nafahamu amepoteza baadhi ya wachezaji wake muhimu kwa vigogo kadhaa, ikiwemo Simba. Licha ya kuondoka kwa nyota wake, bado ametengeneza kikosi kizuri sana. Ana wachezaji wazuri ambao tunapaswa kuwa makini katika kuwazuia.” “Kocha Baraza amefanya kazi kubwa sana katika kutengeneza timu yake.

Nafahamu amepoteza baadhi ya wachezaji wake muhimu kwa vigogo kadhaa, ikiwemo Simba. Licha ya kuondoka kwa nyota wake, bado ametengeneza kikosi kizuri sana. Ana wachezaji wazuri ambao tunapaswa kuwa makini katika kuwazuia.” @manqoba.mngqithi

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet