pmbet

Kodak Black akiwa jela amzawadia Range mkwe wake

Sisti Herman

January 16, 2024
Share :

Licha ya kuwa gerezani rapa kutoka nchini Marekani, Kodak Black amemfanyia surprise mama watoto wake kwa kutuma zawadi ya gari aina ya Range Rover na kiasi cha pesa Tsh 251 milioni.

Mwanamuziki huyo akiwa gerezani alimuagiza mtu wake wa karibu kufikisha zawadi hizo kwa mama watoto wake. Kodak alihukumia mwaka Jana kifungo cha mwaka mmoja na miezi nane gerezani, baada ya kukutwa na makosa ya utumiaji na uuzaji wa madawa ya kulevya na ulaghai.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet