Koffi Olomide agombea Useneta
Eric Buyanza
February 26, 2024
Share :
Mwanamuziki nguli wa Kongo na Afrika kwa ujumla, Koffi Olomide anawania kiti cha useneta wa jimbo la Sud Ubangi kwa tiketi ya chama cha AFDC cha Rais Felix Tshisekedi.
Uchaguzi huo wa maseneta unatarajiwa kufanyika wiki hii