Kofii Olomide ajitupa kwenye siasa rasmi
Eric Buyanza
April 11, 2024
Share :
Mwanamuziki mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Koffi Olomide ametangaza nia ya kuwania kiti cha Useneta nchini humo.
Koffi anatarajiwa kugombea katika jimbo la Sud-Ubangi, Kaskazini-Magharibi mwa Kongo katika uchaguzi utakaofanyika wa Aprili 22 kupitia chama cha AFDC-A.
Fuatilia video hapo chini;