Kompany azitaka nchi za Ulaya kuiheshimu AFCON
Sisti Herman
December 15, 2025
Share :

Kocha wa Bayern Munich Vincent Kompany kwenye AFCON:
"Umuhimu wa mashindano haya kwa wachezaji wa Kiafrika haupaswi kupuuzwa."
Maneno makali kutoka kwa Vincent Kompany hutokana na Mataifa ya Ulaya kutotambua na kuheshimu kile ambacho Kombe la Mataifa ya Afrika kinawakilisha.





