pmbet

Konate amwaga wino Real Madrid hadi 2030

Eric Buyanza

June 18, 2026
Share :

Klabu ya Real Madrid imefikia makubaliano na mlinzi wa kati Ibrahim Konate ambapo sasa anakuwa mchezaji wa klabu hiyo kwa misimu minne hadi 2030.

 

Konate mwenye umri wa miaka 27, aliyetokea Liverpool kama Mchezaji huru, anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na kocha mpya wa Real Madrid Jose Mourinho, ambapo wachezaji hao ni beki wa kushoto Marc Cucurella kutoka Chelsea na kiungo Bernardo Silva kutoka Manchester City.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet