pmbet

Konde Boy ajiunga na Singida BS

Sisti Herman

November 19, 2026
Share :

 

Aliyekuwa nyota wa Simba SC, Al Ahly SC na timu ya taifa ya Msumbiji Luis Miquissone ameripotiwa kukamilisha taratibu za kujiunga na wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) Singida Black Stars.

Miquissone ataanza kuichezea Singida Black Stars baada kufunguliwa kwa dirisha dogo lijalo la mwezi Januari.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet