Kondom kongwe zaidi, ilitengenezwa kwa utumbo wa Nguruwe
Eric Buyanza
June 27, 2024
Share :
Wanasayansi wanasema kuwa kondomu hii kongwe zaidi duniani ilitumika katika miaka ya 1640 kwenye jiji la Lund nchini Sweden.
Kondom hii ilitengenezwa kwa kutumia utumbo wa nguruwe.
Mtumiaji alitakiwa ailoweke kwanza kwenye maziwa yenye joto kidogo kabla ya kuitumia.
Kwa sasa kondomu hii inapatikana katika makumbusho huko nchini Austria.