pmbet

Korea Kaskazini yarusha makombora mawili ya 'Ballistic'

Eric Buyanza

July 1, 2024
Share :

Jeshi la Korea Kusini limesema kwamba Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa mafupi huku moja likifeli siku moja baada ya Pyongyang kuonya kuhusu matokeo mabaya kufuatia mazoezi makubwa ya pamoja. 

Msemaji wa jeshi la Korea Kusini Lee Sung-jun amesema kombora la pili lilionekana kuruka isivyo kawaida katika hatua ya awali na kuongeza kuwa kama lingelipuka angani, athari zake na vifusi vingetua Korea Kaskazini.

Uhusiano baina ya majirani hawa umefikia kiwango kibaya, huku Pyongyang ikizidisha majaribio yake ya silaha.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet