Kroos arejea timu ya Taifa Ujerumani
Sisti Herman
February 22, 2024
Share :
Kiungo wa Real Madrid Toni Kroos anatajwa kurejea kucheza Timu ya Taifa ya Ujerumani ambayo alistaafu wakati uliopita kuanzia mechi za machi.
"Nina hakika kikosi hiki kinaweza kufanya mambo maalum kwenye Euro na tunaweza kuamini wote kwa pamoja", Kroos anasema akielezea timu ya Taifa ya Ujerumani.
Real Madrid, wana matumaini kuhusu hili kama ishara chanya ya kuongeza mkataba wa Kroos zaidi ya msimu huu