pmbet

Kuchimbia fedha ndani ni mambo ya kizamani - Mwigulu

Eric Buyanza

December 15, 2023
Share :

Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuacha tabia ya kuhifadhi fedha majumbani badala yake watumie mabenki kuhifadhi fedha zao ili kujihakikishia usalama wa fedha zao na usalama wao.
 

“Utaratibu wa kuchimbia fedha ni utataribu wa kizamani, benki sasa zipo kiganjani kwanini uchimbie fedha? Popote ulipo unaweza kupata huduma za benki,” amesisitiza waziri huyo.
 

Dk Nchemba ameyasema hayo jijini Dodoma wakati akizundua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ).

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet