pmbet

Kumbe Amorim bado anaidai United!

Eric Buyanza

February 28, 2026
Share :

Kuna habari kuwa klabu ya Manchester United inaweza kulipa pauni milioni 15.9 ambazo ni sawa na zaidi ya Shilingi Bilioni 50, kama fidia kwa Ruben Amorim na wasaidizi wake kufuatia kufukuzwa kwake. Amorim alifukuzwa kazi Januari 5 baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa mwaka mmoja na miezi miwili kama kocha mkuu wa klabu hiyo.
 

Amorim aliongoza United katika mechi 63, akishinda 25, sare 18, na kupoteza 21. Klabu hiyo ilimteua Michael Carrick kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu huu.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet