Kumekucha! Harmonize na Mwakinyo wataka kuzichapa ni vita nzito
Joyce Shedrack
March 28, 2024
Share :
Nyota wa muziki wa Bongofleva Harmonize amejikuta akiingia kwenye vita na bondia mkubwa wa ngumi Hassan Mwakinyo baada ya Harmonize kutangaza kuingia kwenye ngumi na kuanza majibizano na Hassan Mwakinyo. Unadhani wakizichapa nani atapigwa?
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.