pmbet

Kumuona Feisal Salum dhidi ya KMKM Chamazi ni bure.

Joyce Shedrack

October 22, 2025
Share :

Klabu ya Azam Fc imewatangazia rasmi mashabiki wa soka Nchini kuwa mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM siku ya ijumaa hautakuwa na kiingilio upande wa jukwaa la mzunguko.

CAF Confederation Cup 2025/26 Azam FC, Singida Black Stars na KMKM - Ajira  Za Leo

"Habari njema kwa mashabiki wa soka! Tunapenda kuwataarifu kuwa hakutakuwa na kiingilio kwa majukwaa ya mzunguko kwenye mechi yetu ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM".

“Ofa hiyo haitahusisha majukwaa yote ya watu maalum (V.I.P), ambapo tutatoa kadi maalum kwa watu wote watakaoingia kwenye eneo la majukwaa hayo”.Imesema taarifa ya Azam Fc.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet