pmbet

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui - Haaland

Eric Buyanza

October 10, 2026
Share :

Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Norway, Erling Haaland, amekiri kuwa uamuzi wake wa kubadilisha mtindo wa nywele umemsaidia kupata faragha zaidi anapokuwa mitaani, kwani kwa sasa watu wengi hawamtambui kirahisi.

 

Akizungumza na Sky Sports hivi karibuni huku akicheka, Haaland alieleza kwamba mabadiliko hayo yamepunguza usumbufu mkubwa aliokuwa akiupata anapotembea mtaani.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet