"Kusingekuwa na mimi bila Busta Rhymes" – Ludacris
Eric Buyanza
April 18, 2024
Share :
Kutoka nchini Marekani, Rapa mkongwe Ludacris ameonesha kuutambua kwa ukubwa mchango wa nguli wa muziki wa hip pop duniani, Busta Rhymes kwenye kazi yake ya muziki.
Akiogea hivi karibuni, mkali huyo wa ngoma ya ‘Yeah’ amekiri asingekuwa na mafanikio aliyonayo leo kama sio mkongwe huyo.
Hata hivyo Ludacris, hakutaja ni namna gani Busta Rhymes alivyomsaidia.