Kutambuliwa kwa Palestina sio zawadi kutoka kwa Netanyahu, bali ni haki ya msingi
Eric Buyanza
February 17, 2024
Share :
Baada ya kauli Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kupinga mpango wa kuitambua Palestina kama taifa huru kwa hoja kwamba uamuzi huo "utakuwa ni sawa na kuupa ushindi ugaidi.
Wizara ya mambo ya nje ya mamlaka ya Palestina imesema kutambuliwa kwa Palestina kama taifa huru sio zawadi au upendeleo kutoka kwa Netanyahu bali ni haki ya msingi iliyowekwa na sheria ya kimataifa.
DW