Kutana na Jyoti, Mwanamke mfupi zaidi duniani
Eric Buyanza
February 10, 2024
Share :
Jyoti Amge, amezaliwa India tarehe 16 Desemba 1993, hadi anafikisha umri wa miaka 18 mwaka 2011, alikuwa na urefu wa sentimita 62.8 tu sawa na futi mbili pekee!
Hiyo ilimfanya kuwa mwanamke mfupi zaidi duniani anayeishi na kutambulika na taasisi ya rekodi za dunia, Guinness World Records.
Jyoti ana uzito wa kilo 5.5 tu!