pmbet

Kutana na Mariam, mama mwenye watoto wengi zaidi duniani, ana watoto 44

Eric Buyanza

May 31, 2024
Share :

Huko nchini Uganda, mwanamke aitwae Mariam Nabatanzi Babirye au kwa jina la utani (Mama Uganda), amekuwa maarufu duniani kote kutokana na idadi ya watoto aliowazaa.

Mariam aliyezaliwa mwaka 1980 amezaa jumla ya watoto 44 na mtoto wake wa kwanza alimzaa akiwa na miaka 13.

Kwasababu idadi ya watoto ilikuwa kubwa ilimbidi Mariam anunue kitabu cha kuandika majina yao ili asiwasahau wengine akiwa amewapa majina ya waigizaji wa filamu za ki-nigeria. Mume wake aliikimbia familia na kumuachia Mariam majukumu yote ya kutunza familia hiyo kubwa kwelikweli.



 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet