pmbet

Kutana na mbeba vyuma mzee kuliko wote duniani!

Eric Buyanza

February 3, 2024
Share :

Jim Arrington anashikilia rekodi ya dunia ya Guiness kama (mtunisha misuli/mnyanyua vyuma) mzee kuliko wote duniani akiwa na umri wa miaka 90.
 

Jim alianza mazoezi ya kujenga mwili alipokuwa na umri wa miaka 13, na amekuwa akiendelea nayo tangu wakati huo.
 

Ingawa mwili wake kwasasa ni dhaifu na hauna nguvu kama za vijana wa kisasa, Jim bado anakomaa na vyuma na anasema hana mpango wa kuacha mazoezi hayo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet