pmbet

Kutana na mwamba asiyezeeka, ana miaka 36 utafikiri ana 14

Eric Buyanza

March 30, 2024
Share :

Dennis Vashurin wa nchini Urusi, inampasa kila wakati kutembea na cheti chake cha kuzaliwa ili kuwathibitishia watu umri wake.

Kijana huyu kwasasa ana umri wa miaka 36 lakini watu humuona kama dogo wa miaka 14.

Pamoja na kwamba hali hiyo ni tatizo la kiafya, lakini Dennis anasema anaifurahia hali hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet