Kutana na pikipiki inayopaa
Sisti Herman
February 20, 2024
Share :
Kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa vyombo vya usafiri ya ‘Detroit Auto show’ kutoka nchini Japan imeonesha pikipiki ya kwanza yenye uwezo wa kupaa katika maonesho ya Magari ya Detroit.
Mwenyekiti mwenza wa kampuni hiyo Thad Szott, ambaye ndiye aliyeijaribu pikipiki hiyo ameeleza kuwa haitumii nguvu kwenye kuiwasha ni laini hasa wakati wa kukata kona.