pmbet

Kutoka Uraibu wa madawa, mpaka kuwa mama wa makamu Rais

Eric Buyanza

November 11, 2025
Share :

Mwanamama Bev Vance sasa ni mama wa heshima kubwa,heshima kwa sababu ya mwanae JD Vance ambaye ni Makamu wa Rais wa sasa wa taifa kubwa la Marekani.

 

Ukirudi nyuma kidogo usingeamini kama ungemuona sehemu za juu baadae, mama huyo alikulia kwenye mazingira mabovu sana huko kwao Ohio, ambapo sehemu ya maisha yake alipitia masomo ya uuguzi na akamlea J.D Vance akiwa kama 'Single Mother'.

 

Maisha hayakuwa sawa upande wake,na baadae aliangukia kwenye Uraibu wa madawa ya kulevya.

Mpaka mtoto wake anashika nafasi kubwa katika taifa la Marekani, mama huyo alikuwa amekaa nje ya 'sober' kwa miaka 10 na amefanikiwa kuushinda Uraibu.

 

Familia ya Makamu wa rais J.D Vance mara nyingi wamejitambulisha kama watu wa Imani na Ukatoliki wake umekuwa sehemu ya utambulisho wake.

 

Maisha ya Mwanamama Bev na familia yale ni ushuhuda wa imani na jitihada pasipo kukata tamaa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet