Kwa fomu hii mbaya Arsenal watachukua kombe lolote kweli?
Sisti Herman
April 20, 2026
Share :

Arsenal imepoteza mechi 3 mfululizo zilizopita kwenye mashindano ya ndani katika mashindano ya ndani ikiwa ni kwa mara ya kwanza chini ya kocha Mikel Arteta.
❌ Ilipoteza fainali ya Kombe la Carabao kwa Manchester City
❌ Alitolewa katika Kombe la FA dhidi ya Southampton
❌ Walipoteza kwa Bournemouth kwenye Ligi kuu Uingereza
❌ Imepoteza kwa Man City kwenye Ligi kuu Uingereza
Je, The Gunners watashinda mataji mangapi msimu huu?





