pmbet

Kwa Kundi hili Tanzania ishindwe yenyewe CHAN

Sisti Herman

January 16, 2025
Share :

Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) kimepangwa Kundi B katika Michuano ya Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).

Ratiba hiyo imepangwa nchini Kenya na Tanzania imepangwa na timu za Mataifa ya Madagascar, Maurtania, Burkinafaso na Afrika ya Kati, huku michuano hiyo ikitarajiwa kuchezwa Agosti kwenye nchi za Kenya, Uganda na Tanzania.

Mataifa iliyopangiwa Tanzania hakuna hata taifa moja lililoko katika timu tano za ligi zinazofanya vizuri katika msimamo wa ligi 10 Afrika, huku Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premium League) ikiwa ligi ya sita kwa ubora wa viwango Afrika.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet