Kwani hata huyu pia si Aziz hiyo Ki tutaijazia.
Joyce Shedrack
July 9, 2024
Share :
Klabu ya Yanga imethibisha kunasa saini Kiungo wa kati wa Singida Fountain Gate FC Aziz Andambwile aliyewahi kuhudumu vyema pia na Mbeya City akijiunga na yanga akitokea Singida Fountain Gates FC.
Kiungo huyo wa kati amejiunga na yanga kwenda kuongeza nguvu eneo ambalo linachezwa na Khalid Aucho na Jonas Mkude pale Yanga akisaini mkataba wa kuwatumikia wananchi kwa mwaka mmoja.