Kwishaaaa..! Simba yashusha mashine ya ubaya ubwela.
Joyce Shedrack
July 12, 2024
Share :
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha uhamisho wa mlinzi wa kulia Kelvin Kijili raia wa Tanzania kutoka Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka miwili.
Kijili mwenye umri wa miaka 24 anaungana na Shomari Kapombe kuunda safu ya ulinzi wa klabu hiyo upande wa kulia.