Kylian Mbappe ameonekana akisaini jezi ya Real Madrid wakati alipokuwa kwenye mazoezi na timu yake yaTaifa ya Ufaransa.
Mchezaji huyo alinaswa akisaini jezi hiyo ya shabiki jana Aalhamisi