pmbet

Kylian Mbappe asema Dembele anastahili kushinda Ballon D'or.

Joyce Shedrack

June 7, 2025
Share :

Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya Real Madrid Kylian Mbappe amefunguka kuhusu mchezaji gani anastahili kutwaa tuzo ya Ballon D'or huku akiweka wazi kuwa kura yake itaenda kwa Ousmane Dembele.

Ousmane Dembélé expresses his desire to play more with Kylian Mbappé - Get  French Football News

”Kura yangu iko wazi Ousmane Dembele anastahili tuzo ya Ballon d’Or kwa sababu ya uwezo na takwimu zake, ukinambia Lamine na Dembele mimi ni Dembele”Amesema Mbappe.

 

Mjadala umekuwa mkubwa baada ya msimu wa 2025/24 kutamatika kuhusu mchezaji gani anastahili kutwaa tuzo hiyo kubwa duniani huku mpambano ukiwa mkali kati ya Lamine Yamal na Ousmane Dembele.

 

Unafikiri nani anastahili tuzo hiyo ?.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet